Search This Blog
Saturday, October 5, 2019
Serikali yashusha neema kwa wakulima, Mbolea bei chee
Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga, ametangaza bei elekezi ya mbolea ya kukuzia mazao UREA kwa msimu wa kilimo 2019/ 2020 ambayo mkulima wa chini ataweza kuimudu.
Akitangaza bei hiyo elekezi jana, Hasunga amesema hatua hiyo ni katika kuhakikisha uzalishaji wa mazao ya kilimo unaongezeka ili kukidhi mahitaji ya viwanda na kuboresha maisha ya mkulima,…Bofya hapa kutazama.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment