Search This Blog

Sunday, October 20, 2019

Ruby Atangaza Kumpoteza MUME Wake Kwa Siku ya Nne Sasa...Aomba Msaada Kwa Watanzania


Msanii wa Bongoflava Ruby Siku ya Jana alitoa Taarifa za Kupotea kwa Mumewe anayejulikana kwa jina la KUSAH... Aomba msaada kwa yeyote atakaye fanikisha kupatikana kwa Mchumba wake huyu kwani haonekani kwa siku ya Nne

Updates:
Baada ya Masaaa kadhaa toka ameomba msaada kwa Watanzania Ruby alirudi tena mtandaoni jioni ya jana na kuwashukuru Watanzania na kusema amempata mume wake

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...