Search This Blog

Saturday, October 19, 2019

Batuli 'Nilikataa Kucheza Scene za Mahaba Katika Movie ya OPRAH ya Kanumba..Irene Uwoya Akakubali'

Batuli
Fahamu: Umaarufu wa Irene Uwoya ulilipuka Baada ya kuigiza filamu ya Oprah akiwa na Kanumba na Ray, lakini Batuli ndie alianza kufuatwa aigize uhusika ukuu wa Oprah, Batuli alikataa sababu hakuwa comfortable kucheza scenes za kimahaba ziliozoonekana Kwenye movie husika na kuzua minong'ono Kwa Wakati huo. Uwoya hakujivunga na kilichotokea ni movie hiyo kumpa jina kubwa zaidi ya mwanzo .

Hata hivyo, Batuli baadaye aliigiza Fake Smile akiwa na Kanumba ambapo nae bahati ya ustaa ilikuwa yake Kwa movie hiyo kumpa jina

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...