Search This Blog

Sunday, October 27, 2019

Pulisic apiga hat trick, Chelsea ikiichachafya Burnley

Kiungo Mmarekani, Christian Pulisic akishangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za 21, 45 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Burnley leo Uwanja wa Turf Moor.

Bao lingine la The Blues limefungwa na Willian 58, wakati ya Burnley yamefungwa na Jay Rodriguez dakika ya 86 na  Dwight McNeil dakika ya 89.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...