Search This Blog

Saturday, October 26, 2019

Picha: Waziri Mkuu atua Azerbaijan kumuwakilisha Rais Magufuli


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Azerbaijan,  Ali Ahmadov wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Heydar Aliyev, ambako atamwakilisha Rais, Dkt. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa Nchi zisizofungamana na upande wowote unaofanyika Baku nchini humo.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...