Search This Blog

Sunday, October 6, 2019

Lynn Adai Yeye ni Mzuri LazimaAlindwe ili Asiibiwe 'Nilimpiga Kibuti Diamond'


Lynn Amejibu Suala la yeye kufanya sherehe ya Birthday huku akiwa kazungukwa na Bodygurds

Mimi ni lazima nilindwe, halafu mimi mzuri kwa hiyo naweza nikaibwa pia ndiyo maana uliona mabodigadi kama wote pale ukumbini.

Kuhusu Penzi Langu na Diamond, Mimi mpaka mwanaume tunaachana ujue mimi ndio nimetaka, hakuna mwanaume ambaye sitaki kuachana naye nikaachana naye, Hakuna mwanaume aliyewahi kuniacha ila mimi ndio huwa naacha.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...