Search This Blog
Sunday, October 6, 2019
Mrisho Mpoto Ajiunga Rasmi CCM
MSANII Mrisho Mpoto, Jana Jumamosi, Oktoba 5, 2019 amejiunga rasmi na Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kukabidhiwa kadi ya Chama hicho na Katibu Mkuu wake, Dkt. Bashiru Ally.
Tukio hilo limefanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa ndani na viongozi wa matawi wa chama hicho.
Katika mkutano huo, RC wa Dar, Paul Makonda, ametoa shilingi milioni 100, kwa ajili ya kuanzisha Mfuko maalum wa Viongozi wa Mashina ya CCM pamoja na Wajumbe wao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...

No comments:
Post a Comment