Search This Blog
Thursday, October 17, 2019
Japan: Idadi ya vifo kutokana na Kimbunga Hagibis yafikia 77
Tangu Kimbunga Hagibis kugonga pande nyingi za Japani mwishoni mwa wiki iliyopita, idadi ya vifo imeongezeka hadi 77, huku mamlaka zikianza kupima kiwango kamili cha uharibifu uliobaki.
Kimbunga Hagibis, chenye nguvu zaidi kugonga Japan katika miongo, kilisababisha mito mingi kufurika na nyumba kuporomoka.
Pamoja na mvua na upepo mkali, maelfu ya nyumba zilifurika, takwimu ikionyesha zaidi ya nyumba 33,000 bado zimefurika kufikia hapo jana. Wizara ya mambo ya ndani ikiongeza kuwa nyumba 1,700 zilikuwa zimeharibiwa kabisa kutokana na dhoruba kali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment