Search This Blog

Wednesday, October 16, 2019

Hizi ndizo mechi kali za Bundesliga na Ligue 1 wiki hii


Mechi kali za Euro qualifiers, Bundesliga  na Ligue 1 zinaendelea kupigwa wiki hii katika viwanja mbalimbali bara Ulaya. Meneja Masoko wa Startimes, David Malisa amesema kwamba mechi hizo zitaonyeshwa ndani ya king'amuzi cha Startimes kupitia chaneli ya World Football.

BUNDESLIGA
Tarehe 19 Oktoba,2019.Saturday.
1.Augsburg na FC Bayern Munich. saa10:30jioni.
World football.
2.Dortmund na  Monchengladbach.Saa1:30 usiku, World Football

Ligue1
Tarehe 18 Oktoba,2019.friday.
1.Nice na  PSG ,saa 3:45usiku.
Kwenye sports premium,

Tarehe 20 Oktoba,2019 Jumapili,
Marseille vs Strasbourg Alsace.
Chaneli ya World football,
Saa 4:00 usiku

Ameongeza na kusema mechi hizi zitaruka moja kwa moja hivyo wateja wa startimes wakae mkao wa kushuhudia mechi kali hizi.

Hata hivyo Bw.Malisa amesema Startime ina chanel nyingi za michezo,burudani na tamthilia ambapo ameongeza kua Tamthilia pendwa ya Wildflower msimu wa pili imerudi kwa Kishindo ndani ya ST.Swahili,ambayo inaanzwa kuonyeshwa rasmi tarehe 14 Oktoba,amewashauri watu kulipia vifurushi vyao ili wasikose uhondo huu .

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...