Search This Blog

Thursday, October 3, 2019

Dkt Kigwangala awa Waziri wa kwanza kufika kilele cha mlima Kilimanjaro


Sekta ya Utalii nchini imeandika Historia mpya baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii,Dkt Hamis Kigwangala kuweka rekodi ya kuwa Waziri wa kwanza wa Wizara ya Maliasili na Utalii kufika katika Kilele kirefu barani Afrika,Kilele cha Uhuru ,umbali wa mita 5895 kutoka usawa wa bahari.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...