Search This Blog
Sunday, October 20, 2019
Diamond, Rayvanny na Nandy washinda TUZO Kubwa Nchini Marekani
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania, Diamond Platnumz usiku wa kuamkia leo Jumapili ameshinda tuzo ya African Entertainment Awards USA (AEAUSA) kwenye kipengele cha ‘Best Collaboration Award’ kupitia wimbo wake wa Baila.
Kwenye kipengele hicho Diamond ameshinda na mwenzie @miribenari ambaye ndiye aliyemshirikisha kwenye wimbo huo, Hata hivyo Diamond hakuwepo kwenye sherehe hizo na tuzo yake ilipokelewa na Miri Ben-Ari.
Wasanii wengine walioshinda tuzo hizo ni Rayvanny na Nandy kwenye vipengele vya Best Male/Female in East, South and North Africa.
Pia Mtangazaji wa kituo cha Times FM, Lil Ommy naye ameshinda tuzo ya ‘Best Host’, Huku Babu Tale akichukua tuzo ya Meneja bora wa wasanii barani Afrika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment