Search This Blog
Thursday, September 5, 2019
Tweet ya Rapper Nick Minaj kutangaza kuacha muziki
NI headlines za Rapper wa kike kutokea Marekani, Onika Tanya Maraj maarufu kama Nick Minaj ambae leo Septemba 5, 2019 ameutangazia umma kustaafu kazi ya Muziki.
Staa huyo ameujulisha umma kustaafu kwake kupitia mtandao wake wa twitter kwa kuyasema haya’Nimeamua kustaafu niwe na familia yangu najua kwasasa mtakua na furaha, kwa mashabiki zangu endeleeni kushirikiana na mimi mpaka kifo changu’– Nick Minaj.
Baada ya Nick Minaj kuandika ujumbe huo mashabiki wamekuwa na maswali pasipo na majibu juu ya uamuzi huo uliofanywa na staa huyo.
Rekodi ya mwisho ambayo ilimrudisha kwenye headlines mnamo June 21, 2019 inaitwa Megatron ambayo kupitia mtandao wa Youtube rekodi hiyo imetazamwa na zaidi ya watu 64,011,930
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...


No comments:
Post a Comment