Search This Blog

Sunday, September 22, 2019

Marlaw "Sina Tatizo na Mke Wangu Hatujaachana Nina Watoto Watano nae"

Baada ya kuwa kimya miaka tisa, msanii wa Bongo Fleva MarLaw amerudi na amekanusha kuwa na tatizo na mke wake huku akisema wamejaliwa kupata watoto watano.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...