Search This Blog

Tuesday, September 3, 2019

MACHINGA KAZI KAZI


Mfanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga amaye jina lake halikupatikana akitembeza bidhaa  wakati wakisaka wateja katika foleni ya magari, Barabara ya Bagamoyo eneo la Sayansi leo jijini Dar es Salaam. 
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wafanyabiashara ndogondogo maarufu kama Machinga wakiteta jambo wakati wakisaka wateja katika foleni ya magari, Barabara ya Bagamoyo,eneo la Sayansi leo jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...