MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwigelo amefurahishwa na idadi ya wafuasi kwenye ukurasa wake wa Instagram kuongezeka hadi kufikia milioni 5. Akizungumza na Amani, Jokate alisema amekoshwa sana na wananchi kumkubali kiasi hicho ambapo anawaahidi kuwatumikia kwa moyo wake wote kwenye eneo lake pamoja na Watanzania kwa ujumla.
“Ukweli nimefurahishwa sana na wananchi, kufikisha watu milioni 5 sio mchezo jamani, nawaomba wazidi kuni-support kwani ndoto yangu ni kutumikia wananchi kwa moyo na uwezo wangu wote,” alisema Jokate
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment