Search This Blog

Saturday, September 7, 2019

Bosi mpya wa Simba kutoka Afrika Kusini azungumza Kiswahili/ Aweka wazi mipango yake/ Ampa tano Magori

  

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Simba SC, Senzo Mazingiza kutoka nchini Afrika Kusini ametanmbulishwa rasmi leo katika hoteli ya Serena huku akionyesha uwezo wake wa kuzungumza lugha ya Kiswahili, pia ameweka wazi malengo yake ndani ya timu hiyo pamoja na kumpongeza CEO aliyemaliza muda wake Crescentius Magori. 


 

 



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...