Search This Blog

Thursday, September 26, 2019

Aunty Ezekiel amzawadia Wema Sepetu Gari


Kama ni mfuatiliaji wa masuala ya burudani na stori za mastaa wa hapa Bongo, bila shaka utakuwa unafahamu kama mrembo Wema Sepetu husherehekea siku yake ya kuzaliwa kila Septemba 27.

Mwaka huu 2019, wema Sepetu anadondosha Bad & Boujee Birthday Party pande za Element ambapo anautaja usiku wa kesho kuwa usiku wa kunyuka pamba.

Sasa kabla hatujaanza kuyaona mabalaa ya Birthday hiyo, Aunty Ezekiel ambaye ni rafiki yake wa siku nyingi wa Wema, amempatia zawadi ya gari mrembo huyo na kumzidishia furaha.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...