Search This Blog

Sunday, August 18, 2019

Watu 8 wapoteza maisha kwenye ajali ya moto

Watu 8 wamepoteza maisha yao katika moto kwenye hoteli huko Odessa nchini Ukraine.

Katika taarifa iliyoandikwa kutoka kwa Huduma ya Dharura ya Jimbo la Ukraine, watu nane wamepoteza maisha katika hoteli ya "Tokio Star" huku watu wengine10 wakiwa wamejeruhiwa.

Haijajulikana bado chanzo kamili cha kutokea kwa moto huo.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...