Search This Blog

Monday, August 26, 2019

Waliofariki kwa mvua na mafuriko Sudan wafikia 62


Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia mvua kubwa na mafuriko nchini Sudan imeongezeka hadi 62. Naibu waziri wa afya wa Sudan Bw. Sulaiman Abdul-Jabbar amesema, watu wengine 98 wamejeruhiwa.

Jumla ya familia 35,850 zimeathiriwa kote nchini na nyumba 22,676 zimeharibiwa kabisa. Hata hivyo amesema Sudan ina uwezo wa kukabiliana na hatari za msimu huu wa mvua



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...