Naibu waziri wa mifugo na uvuvi Abdalah Ulega amewataka wakuu wa mikoa ya Arusha,Manyara na Kilimanjaro kuweka mpango utakaohakikisha halmashauri zilizopo katika mikoa yao zinawawezesha maafisa ugani kupeleka teknolojia za kilimo mifugo na uvuvi vijijini ili wananchi waweze kuzalisha kwa tija zaidi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE

No comments:
Post a Comment