Search This Blog

Wednesday, August 14, 2019

VIDEO: 'Kagera ndio penyewe njooni muwekeze' Waziri Majaliwa


Waziri mkuu wa Tanzania mh, Kassim Majaliwa amewaambia magavana wa nchi za Rwanda,Burundi, Uganda na DR Congo kuwa Kagera ndiyo mkoa pekee tanzania ulio na utulivu na amani pamoja na fursa sa kutosha katika kuwekeza kwenye sekta zote za biashara, kilimo una mvua za kutosha na utalii mkubwa pamoja na madini ya aina mbalimbali.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USIKOSE KU-SUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...