Mkongwe wa Muziki wa Dance Nchini Tanzania, H.Baba amekanusha taarifa zilizokuwa zinasambaa mitandao kuwa ameachana mkewe Frola Mvungi ambaye ni mwigizaji.
Akipiga story na Mwandishi wa Habari H.baba amesema "Mke wa mtu akiachwa lazima aoneshe taraka sasa nani kashamuona mke wangu akiwa na taraka watu waache kuzusha vitu wasivyovijua bhana hayo ni makosa"
Aidha mkongwe huyo amefunguka kuwa yeye hana team kati ya Diamond na Alikiba ila anampenda sana Diamond.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment