DIAMOND atangaza kununua Ndege (JET) yake mwaka huu au mwakani, Amedai yeye anafaya kazi sana hata wakati wengine wamelala yeye anapiga kazi
PIA amesema birthday yake ya mwaka huu atanunua gari aina ya Rolls Royce lenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 600 za Kitanzania
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment