Search This Blog
Friday, August 30, 2019
Sabby Angel Ampa Ushauri Huu Harmonize
WIKI chache baada ya Meneja wa WCB, Sallam kusema kuwa staa wa Bongo Fleva, Abdul Khali ‘Harmonize’ ameandika barua ya kutaka kutoka WCB, mkali wa Muziki na Filamu Bongo, amemfungukia msanii huyo kuwa ni mapema sana kujitoa.
Akichonga na Showbiz, Sabby ambaye amejikita nchini Kenya akifanya shughuli zake za muziki alisema, alichokifanya Harmonize ameharakisha kwani bado hajajipanga vizuri.
“Kwa mtazamo wangu mimi naona Harmonize kuondoka WCB atafifia kama alivyovififia Mavoko.‼ Waliomshauri aondoke hawana lengo zuri na kama maslahi ndiyo shida hilo linazungumzika, mikataba irekebishwe alipwe zaidi, kuondoka WCB atakosa mvuto,” alisema Sabby
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment