Search This Blog

Sunday, August 18, 2019

Real Madrid yaanza kwa ushindi La Liga

Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 12 akimalizia krosi ya winga Gareth Bale katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Abanca-Balaidos mjini Vigo.

Mabao mengine ya Real Madrid yamefungwa na Toni Kroos dakika ya 61 na Lucas Vazquez dakika ya 80, wakati la kufutia machozi la Celta Vigo limefungwa na Iker Losada dakika ya 90.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...