Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka "C" katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Agosti4, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka "C" katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Agosti4, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoka nje na kusalimiana na waumini wenzao baada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka "C" katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Agosti4, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia IGP Simon Sirro na kijana fulana maalumu za sherehe ya kutimiza miaka 75 Muadhama Polycarp Kadinali Pengo baada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka "C" katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Agosti4, 2019
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia muumini Rosari baada ya Misa Takatifu ya Dominika ya 18 ya Mwaka "C" katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Jumapili Agosti4, 2019





No comments:
Post a Comment