Search This Blog

Thursday, August 8, 2019

Picha: Simba SC walivyoondoka kuwafuata UD do Songo


Kikosi cha Simba SC kimefika kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) tayari kwa safari ya kwenda Msumbiji ambako kitacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa ya Afrika dhidi ya klabu ya UD do Songo.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...