Search This Blog
Monday, August 19, 2019
Ombi la Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) Lakataliwa
Ombi la nchi ya Burundi kujiunga na Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limegonga mwamba baada kutokamilisha vigezo katika baadhi ya maeneo.
Hayo yamesemwa leo Jumapili Agosti 18 na Rais Dk. John Magufuli wakati akihitimisha mkutano huo wa siku mbili ulioanza jijini Dar es Salaam jana.
Aakizungumzia hatua liyofikiwa kuhusu nchi hiyo kuweza kujiunga, amesema ilibainika kuwa bado kuna maeneo ambayo hayajakamilika vizuri.
“Mkutano umeielekeza sekretarieti kuiarifu Burundi kuhusu maeneo ambayo hayajakamilika ili yafanyiwe kazi na hatimaye kutumwa tena kwa timu ya uchunguzi kwa ajili ya hatua nyingine za baadaye,” amesema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment