☣️MASHUKE– (Agosti 23- Septemba 23)
Ukitaka kufanikiwa lazima utumie nguvu yaani upeleke mashtaka Serikalini au kwa Mkuu, kabla hujaondoka upange na mkubwa wa hapo ikiwezekana akupe barua au ufanya mipango naye ndio utafanikiwa. Hakikisha mambo yako yote yajulikane na mkubwa huyo.
☣️MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Inaonekana fikra zako ni kuhusu Kiongozi au Mkuu fulani au madaraka mali, na Mambo yako ambayo yamekuharibikia Pia pana jambo lililopotea au kazi na nyumba. muone mtaalamu kabla hujaharibikiwa zaidi.
☣️NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Siku hizi za mwisho wa wiki ujue kuwa jambo lolote unalolitaka litakuwa jepesi na litapatikana Ukijua hayo basi itakuwa ni Vyema. Elewa siku ya kutokea shida zako au mafanikio ni leo JUMAMOSIau kesho JUMAPILI.
☣️MSHALE- (Novemba 23 - Desemba 21)
Unahitaji kutatua Jambo ni wakati mzuri lakini kamwe Usijaribu kuficha Jambo kamwe hutopata ufumbuzi ukiwa peke yako rafiki aliyekuzidi umri atakuwa na msaada mkubwa nawe.
☣️MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Wikiendi michezo au mashindano ni nzuri kwako, safari ukiwa nayo ni nzuri na mgonjwa kama yupo au unauguwa wewe basi utapata nafuu au kupona kabisa.
☣️NDOO– (January 21– February 19)
Unashauriwa uache khiana na haraka, achana na huyo rafiki yako maana ana khiyana mbaya Jambo lolote unalotaka kujua dawa yake uachane nalo. Kitu kilichopotea au kuibiwa kipatikana.
☣️SAMAKI– (February 20- March 20)
Hapo ulipo inaonekana una shaka kuhusu ugonjwa, wasiwasi, au pesa au kuondolewa kazini au kuuzwa na kuwekewa rehani Inaonekana kuna khiyana, taabu tupu, uhusiano mbaya, njia mbaya na unaota ndoto za kutisha Hayo yote yatakwisha wikiendi hii wasiliana na mnajimu atakupa njia ya kuyashinda hayo.
☣️PUNDA- (March 20– April 20)
Kama uliomba Jambo unatakiwa ukumbushe hiki ni kipindi Cha kusahauliwa na wewe pia kusaidia wenzako utafakiwa kwa Hilo.
☣️NG’OMBE– (April 21– May 20)
Ikiwa ndio umekwisha fikwa na tatizo lolote basi dhibiti au kubali makosa au kubali hasara mara moja kwani njia nyingine yoyote haifai Ukifanya hivyo utafanikiwa.
☣️MAPACHA- (May 21- Juni 21)
Usiwe mwepesi wa kueleza Mambo yako onyo ovyo bado unafatiliwa endelea kuwa mkimya itakusaidia tegemea kupata mafanikio kwa kile uncho kifanya kwa siku ya leo.
☣️KAA- (JUN 22- JUL 22)
Wikiendi hii tegemea kupata Kazi, mgeni yuko salama na mpenzi wako hajambo Barua au salamu unazotarajia zitakufikia na mgonjwa atapona hivi karibuni atakuja. Mchezo, mtihani au usaili( Inteview) utashinda.
☣️SIMBA LEO- (JUL 23– AUG 22)
Siku hizi za mwisho wa wiki si lazima usafiri ndipo upate mafanikio unayoyataka Utafanikiwa kwa nguvu za Mungu Hata hivyo toa sadaka ya kitu chochote siku ya kesho JUMAPILI
Kama unasumbuliwa na kitu chochote na ungehitaji usaidizi wa TIBA na Kwa Dua na Kiasili Nipo kwa Ajili yako....Tunatibu pia kwa Nyota na Kufanya nyota yako ing'ae
Sheikhe Isaya anatabiri nyota kuondoa nussi mikosi kutoa majini wabaya kutafsiri ndoto kumvuta mpenzi mahusiano, mateso ya majini wa kila aina sheikhe isaya anapatikana dsm magomeni msikiti wa kiyungi simu au whatsapp
PIGA SIMU ☎️+255745495181 ☎️+25568644040

No comments:
Post a Comment