Search This Blog

Saturday, August 24, 2019

Kisa WCB, Mashabiki wamkalia kooni Harmonize


Baada ya Meneja wa msanii Diamond Platnumz, Sallam SK kutangaza kuwa Harmonize aliyekuwa chini ya lebo ya WCB kuandika barua ya kuvunja mkataba na lebo hiyo, Mashabiki wa WCB hawataki kukubali ukweli huo na wengine kuanza kumsema vibaya (kumkalia kooni) kupitia mitandao yake ya kijamii.

Hii ni baadhi ya comment za mashabiki kwenye ukurasa wa Harmonize;

coxdawayao
MTOTO AKILELEWA NA WAZAZI AKIKUA LAZIMA AKAJITEGEMEE UKIONA ANAOGOPA UJUE MUOGA WA MAISHA πŸ˜‚πŸ˜‚
22h436 likesReply

frank.makota.90
Yan sikupendi wew mbwa wew
22h100 likesReply

mr_mmarekani
Tupo pamoja ulipo tupo ni fahari yetu kqa wana kusini
22h249 likesReply

momsara800
Oyoooooo mishabiki namba moja konde gang
22h255 likesReply

wemanation_
Team KONDEGANG wote likes zenu hapa
21h213 likesReply

kondeboys1
kama umemuelew mnyam lik hap tujuan
22h198 likesReply

socializertz
Chain hujavaaa wewe ni mafia aiseee acha wakae na barua yako miaka yote
22h147 likesReply

tiner_samsed
Kama unaamini mzik wa konde upo juu MPE like😍😍😍😍😍😍😍😍😍
22h137 likesReply

bullajr_
WCB HAKUWEZ WANYOSHEEπŸ˜‚πŸ˜‚
22h119 likesReply

simbascdaily
fanya kazi konde wanao kuponda ww kuhama ni wale wanao kaa kwa shemeji zao
21h96 likesReply

ignas_msafi
Nyota imeshaanza kufifiaπŸ˜‚πŸ˜‚
22h45 likesReply

ommydiimpoz
Pasua kichwa fala ww
22h53 likesReply

kachaafunua
Nimefurahi kung'atuka wcb πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
22h75 likesReply

kondegang4life
Yoooo kondegang4_life πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
22h60 likesReply

mpembashombeshombe
Wabongo sasa hapo wata view baadae watatukana
22h57 likesReply

saadesaads
πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯nita comment siku hizi na ku like🀣🀣🀣
22h58 likesReply

prince_muuzasura
Bro nliomba kazi konde_gang ujanijibu....
22h51 likesReply

chaliimmacy
twende sawa team harmoniz niffolow nkufollpw back
22h46 likesReply

official_fadhili_king
Diamond asingetoka sharobaro record leo isingekuwepo wasafi so konde boy sepa zako man

de_bwoy_mnyamaa8
Umezingua broh
22h23 likesReply

soudybrown._
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚napita πŸƒπŸƒπŸƒ
22h26 likesReply

kidaya_____
Sepaa kabisaa kwanzaa ulikuwaa una igaa kilaa kitu hadiii kunyaa kwa @diamondplatnumz unaigaa nendaa huko mshambaa wa kimakonde wewe @harmonize_tz
22h15 likesReply

harmonize_wa_sasa
KAMA wewe unaamini mungu ndie mgawa ridhiki Embu Like Apa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
21h29 likesReply




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...