Search This Blog

Friday, August 9, 2019

BREAKING: Zaidi ya watu 100 wanasadikiwa kuungua moto


Zaidi ya watu 100 wanasadikiwa kuungua moto na kupoteza maisha baada ya gari la mafuta kulipuka na kuwaka moto Msamvu Itigi mkoani Morogoro.

Endelea kufuatilia Muungwana Blog kwa taarifa zaidi.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...