Search This Blog
Saturday, August 17, 2019
Aunty Lulu Akiri Mapenzi Kumrudisha Nyuma
BAADA ya kimya cha muda mrefu, msanii wa filamu za Kibongo ambaye pia amewahi kuwa mtangazaji wa runinga, Lulu Semagongo ameibuka na kueleza sababu za kupotea kwake.
Akistorisha na Shusha Pumzi, Aunty Lulu alisema kuwa sababu iliyompoteza kwenye ulimwengu wa sanaa ni mapenzi kwani mpenzi wake aliyenaye ana wivu sana na hataki aonekane kwenye filamu wala vyombo vya habari jambo ambalo limemrudisha sana nyuma.
“Nipo tu nafanya biashara ikiwa ni baada ya kupigwa stop na mpenzi wangu nisiendelee na sanaa kisa wivu wake lakini ipo siku nitarudi kwenye gemu kwa kasi kama ni kuachana tuachane tu maana hata kazi yangu ya utangazaji hataki niirudie wakati bado ninaipenda,” alisema Aunty Lulu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment