Search This Blog
Saturday, August 10, 2019
Aunt Ezekiel afuata nyayo za Shilole, Irene Uwoya na Wema Sepetu
Staa wa filamu nchini, Aunt Ezekiel aungana na mastaa mwenzake bongo, kujikita katika suala zima la ujasiriamali baada ya kufungua pub yake kubwa ya kisasa iliyopo Mikocheni, jijini Dar.
Aunt amefungua pub hiyo ya kisasa aliyoipa jina ya The Luxe.
The luxe ina sehemu kubwa ya kupumzikia kwa ndani na nje wakati ukipata vinywaji. Kama hiyo haitoshi, kwenye pub hiyo pia kuna sehemu ya chakula yenye mandhari tofauti ambayo inaweza kumvutia mteja kulingana na matakwa yake.
Kwa sasa mastaa wakike Bongo wanaonekana kujikita kwenye ujasiriamali zaidi ambapo mbali na Aunt na Uwoya kumiliki pub, wapo Zuwena Mohamed Shilole anayemiliki mgahawa na Wema Sepetu (duka la nguo).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment