Search This Blog

Tuesday, July 23, 2019

Waziri wa fedha Kenya Afikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Ufisadi


Mkurugenzi wa mashtaka nchini Kenya Noordin Haji amesema waziri huyo atashtakiwa na maafisa wengine kuhusiana na kashfa inayogubika kandarasi ya ujenzi wa mabwawa mawilili.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...