Search This Blog
Tuesday, July 23, 2019
Nyota Yako Leo Jumanne 23 Jul 2019
☣️SIMBA LEO- (Julai 24– Agosti 23)
Ni muda wa majuto kwako kwani utajiingiza kwenye starehe zitakazokuletea maumivu ya ndani ya mwili bado unatakiwa kufuata Ushauri wa mtu wako wa karibu Punguza anasa mwezi huu unaweza kuuona mwezi ujao kitandani.
☣️MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Usitie Shaka maisha yako yapo Katika enzi na mafanikio makubwa kuwaza Sana familia iliyotangulia mbele ya haki ni baraka zinazokuzingira Katika maisha yako amini kidogo utakachopata kitafanya mambo makubwa.
☣️MIZANI– (Septemba 23– Oktoba 23)
Fuatilia ahadi unazodai au kudaiwa ili uweke kumbukumbu unaweza kulipwa siku chache zijazo na Kama ulipanga kusafiri basi safari yako itakuwa ya furaha licha ya kukerwa na mambo madogo baada ya kufika uendako.
☣️NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Unakimbilia Jambo lisilokuwa na maana na unaacha kitu kizuri kitakachokubadilishia maisha tunakushauri uache kuamini kila mtu ili usiache kazi na mipango yako ya kawaida itakayokuletea tija.
☣️MSHALE– (Novemba 22- Desemba 21)
Umeadaliwa Jambo baya bila mwenyewe kujua Epuka ofa za ajabu na pia mikakati yako kufuatilia starehe ovyo nayo uisimamishe wiki hii huenda ukapata ajali au aibu yoyote ila utaendelea kuona mianya ya kuongeza kipato.
☣️MBUZI– (Desemba 21– January 20)
Huna sababu ya kujiuliza mara mbili harakati yako zimefunikwa na watu wasiokutakia mema una kazi kubwa ya kubadili mbinu ili kushindana na adui.
☣️NDOO– (January 20– February 19)
Unatafutiwa kosa litakalokuangamiza juhudi na maendeleo yako yataendelea kwa kasi licha ya vikwazo ujayo ni mwaka wa kusahau machungu yote ila pigana na uadui wowote kuanzia Sasa.
☣️SAMAKI– (February 20– March 20)
Usijiingize Katika vishawishi huu ni muda wa kuumbuka na kupata aibu jitahidi ubadilishe muda uliopanga kufanya anasa uwe maalum kwa kufanya kazi au ubunifu wa kukuongezea kipato.
☣️PUNDA– (March 20– April 20)
Utajikuta ukikosa furaha nyota yako itakufanya uwe mpole na unayehisi kutengwa usishangae hayo ni mabadiliko yatakayokutoa Katika daraja ulilonalo na kukusogeza juu.
☣️NG'OMBE– (April 21– May 21)
Utajisikia maumivu na habari za kusikitisha zitazidi kuwakabili wenye nyota hii ni Wakati wa kutulia kuepuka kuchanganyika na watu wenye mabalaa ulipanga mipango ya fedha wiki hii itafanikiwa.
☣️MAPACHA- (May 21– Juni 20)
Utaingia Katika dimbwi la mapenzi na mtu unayemuheshimu nyota yako inaonyesha kupata mahusiano mapya mwishoni mwa mwezi huu utahitajika pia kusaidia familia hivyo mambo yako unayofanya zingatia kutafuta na hakika ipo baraka inakuja kwako endelea kutafuta polepole hiki kidogo kitakufanyia makubwa.
☣️KAA– (Juni 21– Julai 23)
Ipo mipango ya kuachwa au kusalitiwa na mpenzi wako Jambo hili litakukosesha amani lakini wewe ndiye mshindi utakachoamua kufanya usijiulize mara mbili kwani busara zako zitakuongoza vizuri.
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. sheikhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo,
matatizo ya kinyota, mahusiano, mateso ya majini wa kila aina, magonjwa mbali mbali, majini mahaba. kusafisha Nyota, mivuto ya biashara SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE DSM
MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment