Search This Blog

Tuesday, July 2, 2019

VIDEO: Waziri Mbarawa aibua madudu, awaonya DAWASA ''hawa hawatufai''


Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, ametia saini mkataba wa ujenzi wa miradi sita mikubwa ya maji safi na salama jijini Dar es salaam

Baada ya kuweka saini hiyo, Waziri Mbarawa, amesema miradi hiyo mikubwa sita ya maji imegharimu Sh Bil. 114.5

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...