Search This Blog

Tuesday, July 2, 2019

VIDEO: TAKUKURU yamnasa Mkurugenzi kwa kupokea malipo hewa

TAASISI ya kizuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Dodoma imeingilia Kati ujenzi wa mradi wa maji wa Kijiji Cha Kelema Kuu wilayani Chemba baada ya kubaini thamani ya fedha iliyotumika kutoendana na kazi halisi iliyofanyika.

Aidha mradi huo wenye thamani ya shilingi 222,978,680 ulipaswa kukamilika tangu mwaka 2015.

Hatua hiyo imefanyika ikiwa ni utekelezaji wa moja ya majukumu yake chini ya kifungu cha 7 cha Sheria ya kuzuia na kupambana na rushwa ya mwaka 2007.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...