Search This Blog

Sunday, July 21, 2019

VIDEO: January Makamba afunguka baada ya kutumbuliwa


Kufuatia kutenguliwa nafasi ya kuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, aliyekuwa Waziri wa wizara hiyo, January Makamba ametoa kauli yake kupitia ukurasa wake wa Twitter.

Makamba amesema kuwa ameyapokea kwa moyo mweupe mabadiliko hayo na atakuwa katika nafasi nzuri ya kuzungumzia siku zijazo.

Nafasi yake sasa imechukuliwa na George Boniface Simbachawene. Katika hatua nyingine, Rais Magufuli amemteua Hussein Mohamed Bashe, kuwa Naibu Waziri wa Kilimo.  Bashe anachukua nafasi iliyoachwa na Mh. Innocent Bashungwa ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHAU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...