Search This Blog
Thursday, July 18, 2019
Utafiti: Asilimia 90 ya watu huenda kuoga na simu zao
Watu wa China ni lazima kubeba simu zao, hata wakati wanapo kwenda kuoga, kulingana na ripoti.
Kulingana na ripoti, iliyotolewa na kampuni ya kutegeneza bidhaa za ngozi, asilimia 90 ya Wachina wa kawaida ubeba simu zao wakati wao wana kwenda kuoga.
Mbali na kusikiliza muziki, kutazama video na kusoma vitabu vya mtandao, asilimia 18.14 walisema wanabeba simu zao kwa sababu hawataki wengine kuangalia vifaa vyao, wakati asilimia 9.15 wamesema wanahitaji kuendelea kufanya kazi wakati wa kuoga
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment