Search This Blog
Thursday, July 4, 2019
Tetesi: Leicester City yatenga Tsh. Bilioni 40 kumnasa Mbwana Samatta
Klabu ya Leicester City imetuma ofa inayokadiriwa kufikia Bilion 40 za Kitanzania kwa ajili ya mfungaji bora wa klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta.
Vyanzo mbalimbali kutoka England vimeripoti kuwa vigogo wanapigana vikumbo kupata saini ya mshambuliaji huyo wa Kitanzania. Mapema wiki hii klabu ya Cardiff ilipeleka dau la Tsh. Bilion 36 likatupiliwa mbali na Genk.
Klabu za Birmingham na Aston Villa pia zimepeleka ofa ya Tsh. Bilion 40 lakini vilabu hivi vimekutana na kizingiti kingine lakini maofisa wa Leicester wamejitosa katika dili hili.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment