Search This Blog

Tuesday, July 16, 2019

Rais Magufuli aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli akiendesha Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika Makao Makuu ya CCM katika ukumbi wa Halmashauri ya ccm jijini Dodoma hapo jana.
Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt John Magufuli akishuka katika ndege  Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea Mwanza ambapo jana tarehe 16 julai 2019 ameendesha Kikao cha Kamati Kuu ya ccm kilichofanyika Makao Makuu ya CCM  katika ukumbi wa halmashauri ya Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...