Search This Blog

Monday, July 15, 2019

Picha: Kikosi cha Simba SC kilivyoondoka kuelekea Afrika Kusini


Kikosi cha Mabingwa wa soka Tanzania, Simba SC, kinaondoka asububi hii Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam, kuelekea nchini Afrika Kusini, ambako kitaweka kambi ya Maandalizi ya msimu mpya wa mashindano 2019/2020.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...