Search This Blog

Sunday, July 14, 2019

Makamu wa Rais amwakilisha Rais Magufuli Mkutano wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu Maalum


Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu  amewasili Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kumuwakilisha Rais  Dkt. John Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano  Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu Maalum (International Association of Special Education.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...