Search This Blog

Sunday, July 14, 2019

Djokovic amchapa Federer na kutwaa taji la Wimbledon


Novack Djockovic ameshinda taji la tano la mashindano makubwa ya Tenisi ya Wimbledon kwa kumnyuka Roger Federer kwenye viwanja vya Centre Court mjini London.

Fainali iliyokutanisha magwiji hao inatajwa kama mechi bora na ngumu kuwahi kutokea katika historia ya mashindano hayo.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...