Search This Blog

Monday, July 15, 2019

Makamu wa Rais afungua Mkutano Mkuu wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu


Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu akizungumza na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu Sabastian Kolowa kanda ya Afrika Bishop Dkt.Stephen Munga wakati wa Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Nusu Mwaka wa Taasisi ya Kimataifa ya Elimu (International Association of Special Education(IASE) hapo jana.

Katika Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) Magamba Wilayani Lushoto Mkoani Tanga kwenye Ufunguzi huo Makamu wa Rais amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe.





No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...