Search This Blog

Saturday, July 20, 2019

Kauli ya Kwanza ya January Makamba Baada ya Kutumbuliwa na Rais

Rais Magufuli ametengua uteuzi wa January Makamba ambaye alikuwa ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira

Nafasi hiyo kwa sasa Kapewa George Simbachawene. Kupitia Ukurasa wake wa Twitter, Makamba kaweka picha yake akiwa na mzee Mwinyi na kuandika; Kwa kweli nimeyapokea mabadiliko yaliyofanywa kwa moyo mweupe kabisa kabisa 😊. Nitasema zaidi siku zijazo. 


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...