Search This Blog

Saturday, July 20, 2019

Breaking News: Rais Magufuli afanya utezi huu, January Makamba atenguliwa

 Rais Magufuli amemteua George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kuchukua nafasi ya January Makamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...