Msanii wa Muziki Bongo wa C.E.O wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platnumz amefunguka kuwa leo watamsaini msaini mwingine kwenye lebo hiyo.
Ikumbukwe msanii wa mwisho kusainiwa na lebo hiyo ni Mbosso ambaye alisainiwa Jan, 27, 2018 ambapo ameweza kutoa nyimbo nyingi na kufanya vizuri.
Hata hivyo bado haijajulikana Diamond Platnumz atamsaini msanii yupi huku mashabiki wakiwa na shauku ya kuongezwa msanii wa kike katika lebo hiyo inayofanya vizuri nchini.
Hadi kufikia sasa lebo ya WCB ina wasanii watano ambao ni Diamond, Harmonize, Rayvanny, Mbosso, Lavalava, Queen Darleen. Pia utakumbuka msanii Rich Mavoko alikuwa kwenye lebo hiyo kutokana kushindwana kibiashara.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment