Search This Blog

Wednesday, June 5, 2019

Watu 40 Washikiliwa na Jeshi la Polisi

Jeshi La Polisi mkoani Mtwara linawashikilia watu 40 kwa tuhuma za wizi wa mali na uvunjaji.

Watu hao 40 wanahusika kwenye tuhuma za wizi wa mali za watu na matukio ya uvunjaji, huku wakikamata pikipiki 7 na Television 12.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mtwara, Blasius Chatanda, amesema mali zingine walizokamata kupitia oparesheni inayotekelezwa na jeshi hilo ni pamoja na ving’amuzi na Sabuufa.

Kuhusu sikuku ya Eid, kamanda huyo wa polisi amewaonya waendeshaji wa vyombo vya moto kutotumia vilevi kipindi cha sikukuu.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...