Search This Blog
Tuesday, June 11, 2019
Wahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kubaka na kuua
Mahakama moja nchini India imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa wanaume watatu waliotiwa hatiani kwa kumbaka na kisha kumuua msichana wa miaka nane.
Tukio hilo lilitokea katika jimbo la Jammu Kashmir, watatu hao walipatikana na hatia ya kubaka, kuua na matendo ya unyanyasaji. Mwili wa msichana huyo ulipatikana kwenye msitu mnamo Januari mwaka jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment